Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
BUNGE limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati Afrika (Mission 300) Mwaka 2025 kwamba, umeiletea sifa ya kipekee Tanzania na kutaja namna Watanzania walivyonufaika ...
CHAMWINO, Dodoma – Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa ya kubadili hali ya Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa eneo hilo, wakiwa mashahidi wa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
WANANCHI wilayani Chato mkoani Geita wamejitokeza kumchangia Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha Sh milioni 1.4 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza ... kuunga mkono juhudi za kidiplomasia za kupata suluhu la amani kwa mzozo wa Mashariki mwa DRC kupitia ...
DODOMA: THE Parliament yesterday passed a resolution, congratulating President Samia Suluhu Hassan for her exemplary leadership. The resolution that received overwhelming support from legislators was ...
Dar es Salaam. Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kueleza moto uliowaka mwaka 2021 katika Soko la Kariakoo ulichomwa kwa makusudi, umeibua maswali tata. Maswali hayo, yamejikita katika muktadha wa ...
Babu also revealed that he remains banned from Uganda and is not allowed to set foot in the country.