CHAMWINO, Dodoma – Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa ya kubadili hali ya Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa eneo hilo, wakiwa mashahidi wa ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
Hii inafuatia makubaliano kati ya mwenyekiti wa Rais wa SADC Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa EAC William Ruto wa Kenya. "Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kuwa mwenyeji wa mkutano ...
Dar es Salaam. Hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kueleza moto uliowaka mwaka 2021 katika Soko la Kariakoo ulichomwa kwa makusudi, umeibua maswali tata. Maswali hayo, yamejikita katika muktadha wa ...
WANANCHI wilayani Chato mkoani Geita wamejitokeza kumchangia Rais Samia Suluhu Hassan kiasi cha Sh milioni 1.4 kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uraisi katika uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Dodoma. Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yalimsukuma kutaka kufanyika ...
Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency ...
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema atasitisha misaada yote ya kifedha kwa nchi ya Afrika Kusini, kwa kile amesema mamlaka zinachukua ardhi kwa nguvu na kuzibagua baadhi ya jamii. Suala la ...
Bw. Charaa ambaye aliteuliwa kuwa rais wa mpito siku ya Jumatano kwa muda usiojulikana, aliongoza muungano wa waasi wa Kiislamu waliompindua Rais Bashar Al Assad tarehe 8 Desemba, na hivyo ...
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza kusambaa na kuwa vita vya kikanda. Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha ...