Uamuzi wa Wakili ulitangazwa na mwenyekiti wa CCM Taifa, Mwalimu Nyerere wakati akitoa taarifa kwenye Mkutano Mkuu wa CCM ...
MBUNGE wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
SERIKALI ya Tanzania katikaMkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa ...
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya ...
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa jijini Kinshasa anahudhuria kwa njia ya video kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikuwa na ratiba ngumu sana mwishoni mwa Januari.
Jeshi la Uganda UPDF limesema wanajeshi wake walioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, watatafuta mbinu ya kujiimarisha kiulinzi ili kuyazuwia makundi mengine ya waasi kuingia mashariki ...