Kocha wa Arsenal Mikel Arteta, amewaambia wachezaji wake waendelee kufikiri kuhusu michezo inayofuata na kuachana na matokeo ...
Wikiendi iliyopita Simba na Yanga zilimaliza mechi zao za viporo vyao vizuri na kuzidisha ushindani wa kuwania ubingwa wa ...
Kuna methali ya Kiswahili inayosema ‘Kuti la mazoea humwangusha mgema.’ Hiyo ikiwa na maana kwamba jambo ulilozoea kulifanya ...
Kocha wa Yanga Mjerumani Sead Ramovic ni wazi gari limemwakia baada ya kushinda michezo sita mfululizo ya Ligi Kuu Bara, huku ...
Wakati wimbi la wachuuzi wanaowasha moto na kupika kwenye hifadhi za barabara likiongezeka, imebainika hali hiyo si hatari tu ...
Jumuiya ya kimataifa ikiwemo Umoja wa Mataifa (UN) imekuwa ikiishutumu Rwanda kwa kuwafadhili waasi hao wa M23, tuhuma ambazo ...
Mashabiki wa Simba wanatamba mitaani namna timu yao inavyopasua mawimbi kuutafuta ubingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini ndani ya ...
Yalikuwa ni mauaji ya kikatili, ndivyo unaweza kuelezea mauaji ya askari watatu wa Jeshi la Polisi waliokuwa lindo katika ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wanatarajiwa kukutana ...
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa haki za mtoto na pia Sera ya Maendeleo ya mtoto vyote vinatafsiri kwamba ili uwe katika ...
Mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Kampasi ya Sengerema utakaoanza Februari 15, 2025, katika Kijiji cha Kalumo, Kata ...