TIMU za Taifa za Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys na ile ya chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, kila moja ...
KUNA mechi nne za kuchezesha karata ngumu. Ni lkesho jioni majibu yote yatapatikana. Mjadala mkubwa zaidi ukiwa kwa Yanga na ...
TETESI ambazo hapa kijiweni tulikuwa tunaziona haziwezi kuwa kweli hatimaye zimetimia nazo ni ndoa ya Stephane Aziz Ki na ...
DAKIKA 40 ndiyo zitaamua. Ni fainali ya Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Dar es Salaam, kati ya Polisi dhidi ya Stein Warriors ...
SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo ...
MASHABIKI wengi wa Bongo Fleva wanamkumbuka Best Naso kwa nyimbo zake kali kama Mamu wa Dar (2009) na Narudi Kijijini (2013) ...
NDIYO maisha yalivyo. Kuna wakati ukifika unajutia mambo yaliyopita. Kuna msemo wa ‘Ujana Maji ya Moto’. Haupo tu, ...
WAKATI Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally akitamba kwamba straika wa timu hiyo, Leonel Ateba amechora tattoo ya ...
MOJA ya vipaji vya soka inavyojivunia Tanzania ni cha kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Zidane Sereri kilichomfanya ajiunge na ...
MWIGIZAJI maarufu kutoka Bongo, Wema Sepetu ameweka wazi kuwa ana uwezo wa kuingiza sauti yake kwenye nyimbo za wasanii wengi ...
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Christina Shusho amefichua ana kipaji kingine zaidi ya cha uimbaji kinachojulikana na ...
KIKOSI cha Yanga kesho jioni kitashuka Uwanja wa KMC Complex katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, lakini kabla ya ...