Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John Magufuli ... Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka 2025 ...
Nchi ya DRC inawakilishwa kwenye kikao hicho na Waziri wake Mkuu Judith Suminwa. Katika mkutano huo, Rais wa Tanzania amewataka wenzake wa nchi za SADC na EAC kutafuta suluhu la utovu wa usalama ...
Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha azimio la kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae ...
CHAMWINO, Dodoma – Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepiga hatua kubwa ya kubadili hali ya Chamwino kwa kutatua changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi wa eneo hilo, wakiwa mashahidi wa ...
Akizungumza katika mkutano na katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus, Rais Samia Suluhu Hassan amesema ... Bi Samia amesema kuwa hii ni mara ya pili kwa virusi ...
KWA muda mrefu Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitamani nchi za Afrika ziungane kufanya jambo la pamoja, katika kuwapunguazia wananchi gharama za maisha na kuwapa maendeleo yanayoendana na kasi ya ...
Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mafanikio makubwa ya sekta ya utalii, ikiwemo ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma. Ametuma salamu za rambirambi kwa Wanamibia kutokana na kifo ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo yatafanyika Kitaifa jijini Dodoma Februari 5, mwaka huu. Mwenyekiti wa Jumuiya ...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dk Anita Zaidi kwenye hafla ...
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Februari 4, 2025. Tuzo hiyo ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho, Jumanne, Februari 4, 2025 anatarajiwa kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kama kielelezo cha matokeo makubwa ya kupunguza vifo ...