RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema amesikitishwa na taarifa ya kifo cha Baba wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambayo ...
Makamu huyo wa zamani wa rais, aliyechukua nafasi ya Rais John ... Katibu Mkuu wa CCM Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa mgombea mwenza wa Samia Suluhu Hassan. "Hatuna wagombea mbadala kwa mwaka ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na ukubwa wa chama hicho na matumaini ya ...
Rais wa DRC Felix Tshisekedi akiwa jijini Kinshasa anahudhuria kwa njia ya video kikao kinachowaleta pamoja wakuu wa nchi za ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, Mkutano wa 74 wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afya ya Nchi za Afrika Mashariki,Kati, na ...
Siku zote ametamani kuona Afrika na mabara mengine yanaungana kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kupitia matumizi ya ...
Tuzo hiyo hutolewa kwa viongozi waliowezesha nchi zao kuharakisha maendeleo kuelekea kufikia malengo ya maendeleo endelevu.
Mkutano wa pamoja wa EAC-SADC kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeitaka M23 na makundi mengine yasiyo ya ...
Jeshi la Uganda UPDF limesema wanajeshi wake walioko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, watatafuta mbinu ya kujiimarisha kiulinzi ili kuyazuwia makundi mengine ya waasi kuingia mashariki ...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Januari 30, 2025 amekula chakula cha mchana pamoja na walioshiriki uokoaji katika jengo ...