Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Mbwana Samatta jana aliisaidia timu yake ya Paok kupata pointi tatu muhimu ...
LILE dili la bilioni 3 limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya Al Ettihad kuachana na mpango ...
Wakati mashabiki wa Mtibwa Sugar wakianza hesabu za vidole kwa chama lao kurejea tena Ligi Kuu, kocha wa timu hiyo Awadh Juma ...
BAO la dakika ya 88 lililofungwa na nyota wa zamani wa Yanga, Deus Kaseke limetosha kuipatia ushindi Pamba Jiji wa 1-0, dhidi ...
KIKOSI cha Yanga kinashuka uwanjani leo kukabiliana na JKT Tanzania, lakini mashabiki wa timu hiyo watakuwa na shauku ya ...
KLABU kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini, maarufu kama Waarabu wameendelea kuvuna watu kutoka katika Ligi Kuu Bara baada ya ...
Siku chache baada ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kupiga chini ofa ya kujiunga na FAR Rabat, timu hiyo ya Morocco imemchukua ...
KIUNGO wa Barcelona na Uholanzi, Frenkie de Jong, 27, amepewa ruhusa ya kuondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa atapata timu itakayokuwa tayari kumnunua.
BAADA ya kukwama kutua KMC iliyokuwa ikimpigia hesabu dirisha dogo, mshambuliaji matata wa Tabora United, Offen Chikola ...
MASHABIKI wa Yanga wanataka kuona mavitu ya kocha mpya wa timu hiyo, Miloud Hamdi wakati atakapokiongoza kikosi hicho katika ...
LEJENDI wa Manchester United, Ryan Giggs, amesema mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford ambaye kwa sasa anacheza kwa ...
INAELEZWA kwamba Chelsea wamepanga kufanya uhamisho mkubwa kwa kipa wa Liverpool ambaye tayari amekiri kwamba anataka kuondoka kwenye timu hiyo.